iqna

IQNA

ali salman
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, kundi kuu la upinzani la Bahrain, amekaribisha wito wa Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar Sheikh Ahmed el-Tayyib wa mazungumzo ya baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni.
Habari ID: 3476072    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11